Uncategorized
-
7 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
24/03/2024 Mpendwa Azimio Hii ni barua yangu ya saba kwako. Sikumbuki kama nilikutaarifu kwamba nimeweka barua hizi hadharani kwa ajili ya vijana kuzisoma na kuelewa tulikotoka na tulipo. Kwa maoni…
-
6 Barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
17/03/2024 Mpendwa Azimio Katika kipindi chake cha pili (1987-1990) cha unenyekiti wa Chama baada ya kung’taku madaraka ya serikali, Mwalimu alishuhudia matukio matatu muhimu ambayo inawezekena yaliyomsukuma kujiuzulu uenyekiti wake…
-
5 BARUA YA Wiki kwa mpendwa wangu azimio
10/03/2024 Mpendwa Azimio Mwalimu Nyerere aling’atuka madaraka ya Serikali 1985. Mzee Ali Hassan Mwinyi kawa rais. Hii ndio awamu ya pili. Hata hivyo Mwalimu aliendelea na uenyekiti wake wa Chama.…
-
4 BARUA YA WIKI KWA MPENDWA WANGU AZIMIO
3/03/2024 Mpendwa Azimio Baadhi ya vijana wa kizazi kilichopo watakuwa wamesikia, ama kusimuliwa au kusoma kwamba kipindi cha mwisho (1980-1985) cha utawala wa Mwalimu Nyerere kili kuwa kigumu sana. Bidhaa…
-
3 bARuA YA KILA WIKI KWA MPENZI WANGU AZIMIO
25/02/2024 Mpenzi Azimio Duh! Ujio wako juzi uliniacha hoi. Hasira zako zilivuka mipaka ya kistaarabu. Ukanikaripia; ukanikemea. Ukaniumiza sana. ‘We fedhuli we. Mimi sina muda na hizi hisia mufilisi za…
-
2 barua ya kila wiki kwa mpenzi wangu azimio
18/02/2024 Mpenzi Azimio Ninajua hukukasirika na barua yangu ya 11/02. Uliponiijia ndotoni ulikuwa unatabasamu. Wala hukusubiri tujuliane hali. Ukanibusu hapa na pale na kila mahali. Ilikuwa raha tupu. Mengine sitaisema.…
-
nasaha ya wiki
Ota dunia Yenye usawa Yenye haki Yenye utu na ubinadamu. Thubutu kuota dunia bora kuliko tuliyonayo.
-
barua ya kila wiki kwa mpenzi wangu azimio
11/02/2024 Mpenzi Azimio Hivi punde nimekuwaza tena nikisherehekea siku yako ya kuzaliwa ya miaka 57. Kuna maswali yamekuwa yananikera sana na bado sijapata majibu ya kuridhisha. Nafikiri ninaelewa vema –…
-
The Art of Connection
In the ever-evolving world, the art of forging genuine connections remains timeless. Whether it’s with colleagues, clients, or partners, establishing a genuine rapport paves the way for collaborative success.
-
Beyond the Obstacle
Challenges in business are a given, but it’s our response to them that defines our trajectory. Looking beyond the immediate obstacle, there lies a realm of opportunity and learning.




