-
2 mazungumzo ya kufikirika kati ya issa na ngombale
02/05/2024 Issa: Mzee Ngombale tulifanya mahojiano mawili wakati wa uhai wako. Tulizungumzia historia yako binafsi na siasa zako katika CCM. Kwa hivyo, sitayarudio hayo. Mimi napenda tulizungumzie jambo moja ambalo…
-
1 mazungumzo ya kufikirika kati ya tanzanite na mwenge
26/05/2024 Tanzanite: (kwa sauti ya kejeli) Enhe “rafiki” yangu. Umetupwa wapi, katika stoo gani huko barabara ya mlezi wako, eti barabara ya Nyerere, baada ya kuondoshwa kutoka daraja la Tanzanite!? Mwenge:…
-
15 barua ya kila wiki kwa mpendwa azimio
19/05/2024 Wapendwa Wajukuu wa Azimio Hii ni barua ya mwisho katika mfululizo wa barua ya kila wiki kwa Azimio. Natumai tumejifunza mengi kutokana na simulizi ya sifa muhimu za awamu…
-
14 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
12/05/2024 Mpendwa Azimio Naendelea na mawaidha yako. ‘Nilikusimulia jinsi mpendwa wako, shuja wako, Mwalimu Nyerere, alivyopoza vuguvugu la wafanyakazi na wakulima. Sasa nikueleze “dhambi” nyingine ya mlezi wangu. Situmii neno…
-
13 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
5/05/2024 Mpendwa Azimio Katika barua hii nitaendelea na simulizi yako. Niwie radhi. Ulichoniambia ni muhimu mno. Sianabudi niendelee kushare na wajukuu wako. ‘Kama nilivyokueleza; pamoja na wafanyakazi, wakulima walikuwa tabaka…
-
12 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
28/04/2024 Mpendwa Azimio Nilifurahi sana uliponitembelea ndotoni. Ulikuwa na nyuso ya tabasamu. Ukanikalisha kwenye stuli. Ukakunja nyuso. Ukaanza kwa ukali: ‘Ewe Issa Mwana wa Mariamu Achana na mapenzi Shikamana na…
-
11 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
21/04/2024 Mpendwa Azimio Rais wa sita Mhe. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani aliamsha matumaini mapya. Watu walipumua baada ya uhuru wao kubanwabanwa chini ya rais wa tano. Viongozi wa kisiasa, watumishi wa…
-
10 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
14/04/2024 Mpendwa Azimio Wananchi walichoshwa na hali ya kiholela ya miaka kumi ya awamu ya nne. Kiuchumi, kwa walio wengi, maisha yalikuwa magumu. Walipoteza matumaini ya kesho. Hawakuona watapataje ahueni.…
-
9 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
7/04/2024 Mpendwa Azimio Nitaendelea kukusumbua na barua zangu mpaka nimemalizi simulizi ya awamu zote. Niwie radhi. (Inalekea wajukuu wako wameanza kuzisoma na kuzipenda barua hizi). Najizuia kuingiza neno la upendo…
-
8 barua ya kila wiki kwa mpendwa wangu azimio
31/03/2024 Mpendwa Azimio Kama awamu ya Mzee Mwinyi ilikuwa kupanda mbegu za uliberali mamboleo, basi awamu ya hayati Mzee Mkapa ilikuwa ya kukamilisha ukuaji wa uliberali mamboleo. Ubinafsishaji wa mashirika ya…


